lejea mfano wa Lazalo - tajiri.
ndani ya jumapili hii
TUNAJIFUNZA JUU YA, MBEGU ZA UZIMA
Utandawazi WA kutojari.
Katika jamii ya watu.kutojari ni kutomjari mungu.na yote yamhusuyo mungu.amri maagizo
kanisa. Tukizani tulijiumba wenyewe.
Kwa kudhani tu wakamilifu na tumejitosheleza
Katika jamii ya watu.kutojari ni kutomjari mungu.na yote yamhusuyo mungu.amri maagizo
kanisa. Tukizani tulijiumba wenyewe.
Kwa kudhani tu wakamilifu na tumejitosheleza
Namna ya pili ni kutowajali binadamu wenzetu.
Watu tumekuwa
hatuguswi na masahibu ya wenzetu hali inayotupelekea kutokuwa na
Huruma kwa watu wenye mahangaiko.
Ukimjari binadamu mwenzako nidhari umemjari Mungu.
Injiri ya Leo itusaidie kujitafiti na kutimiza wajibu kwa ndugu zetu.ili tujue kuyafananisha matatizo ya wengine kuwa yetu
tunajifunza kutoka
Amo 6: 1, 4-7
Zab 146: 7-10
1 Tim 6:11-16
Lk 16: 19-31
No comments:
Post a Comment