Kundi linalokuja Kwa kasi nakumake headline kwenye mtandao mingi yakijamii.
Sasa wapombioni kuachia bonge moja la video ambapo kiongozi wa kundi Hilo maarufu kama elly b. Ametangaza nafasi tano. Za wasichana wazuri watakao shiriki kazi hiyo
"TIKISA BAND. Kwa sasa tukombioni kuachia video mpya. Kuanzia trh 8/11/2016 ,hivyo tunahitaji video Queen. Mwenye mwonekano na anayejitambua. Elly b. Amesema"
Kaa mkao wa kula na Ukiwa kama mwanadada namlimbwende unayejitambua. Falsa Hii si yakukosa.
No comments:
Post a Comment