NAFAKAII:
ni awamu ya pili ya Mradi wauendelezaji Mifumo ya Masoko ya Mazao ya
Nafaka.
Lengo kuu ni kuboresha ushindani na kuongeza tija ,faida na lishe bora
kwa walengwa kupitia , uboreshaji wa mfumo wa usambazaji pembejeo, uimarishaji wa taasisi
na rasilimali watu na uboreshaji wa kusindika mahindi na mpunga
Kijarida kinachotoa ufafanuzi wakina juu ya NAFAKA II:kama mpango wa
uendelezaji Mifumo ya Masoko ya Mazao ya Nafaka
MALENGO MAKUU YA UTOAJI ELIMU KWA WASINDIKAJI KUPITIA SEMINA
ILIYOANDALIWA NAnAFAKA MKOANI IRINGA
-kuimarisha mifumo ya usambazaji pembejeo ili kukuza uzarishaji
-kuimarisha usambazaji shambani
-uhifadhi bora wa vifungashio
LENGO: KUPANUA WIGO WA WATEJE KUPITI KUONGEZA VIRUTUBISHI
PIA KUPATA TECHNOLOJIA MPYA
MIKAKATI ILIYOPO KWA MRADI HUU WA NAFAKA PIA NI KUWATEMBELEA WASINDIKAJI KWENYE MAENEO MAPANA
YA MKOA WA IRINGA
KUFANYA UTANGULIZI , KWA WASINDIKAJI
15KUWAPELEKA MOROGORO KUJIFUNZA KWA VITENDO
KUSHAWISHI WAWEKEZAJI KUINGIA KATIKA SOKO LA USINDIKAJI KWA KUFZINGATIA
VIWANGO
PICHANI NI MARIAM
SHAIBU AFSA TAWALA MANISPAA YA IRINGA
KWA NIABA YA MKUU WA WILAYA KWENYE SEMINA ILIYOANDALIWA NA MRADI WA
NAFAKA
Bi. MARIAM AMEWAOMBA WASINDIKAJI KUFUATA TARATIBU ZA SERIKALI ZA UBORA WA
VIWANGO KATIKA USINDIKAJI KWA FAIDA YA RISHE BORA KWA WATOTO NA JAMII
INAYOTUZUNGUKA
PIA AMEPONGEZA
WAANDAAJI WA SEMINA HII YA MRADI WANAFAKA KWA KUONA UMUHIMU WA KUWAKUTANISHA
WADAU WA LISHE NA WASINDIKAJI WA MAZAO.
pichani ni mratibu wa taifa
uongezaji virutubishi kwenye vyakula ambaye ni coordinator in national food
fortification program bw. celestine martin mgoba
Ambapo
amezitaja changamoto mbalimbali zitokanazo na uongezwaji wa virutubisho huku
mwanajamii anashuhudia Hali inayo mpa maswali
mengi kutokana na kuamini katika imani potofuHivyo amewashauri
wasindikaji kuandaa lishe na kumpelekea mtumiaji vikiwa vimeongezwa virutubishi
ili kuondoa maswali mengi kwa mlaji
BAADHI YA WASHIRIKI KATIKA SEMINA
ILIYOANDALIWA NA MRADI WA NAFAKA MKOA WA IRINGA
PICHANI NI MKURUGENZI WA
MASOKO,BIASHARA NA HUDUMA ZA FEDHA.Bw.Silas Ng’habi
Akifafanua juu ya mradi huu wa
NAFAKA namna unavyojitahidi kufanya tafiti na kuibua changamoto zilizopo katika
jamii juu ya namna jamii inavyotumia virutubisho lishe.
No comments:
Post a Comment