HABARI HIVI PUNDE: MADELEVA BAJAJI WATISHIA KUGOMA KWA UBOVU WA MIUNDO MBINU - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, January 25, 2015

HABARI HIVI PUNDE: MADELEVA BAJAJI WATISHIA KUGOMA KWA UBOVU WA MIUNDO MBINU

MAPEMA ASUBUHI HII
MADELEVA WA BAJAJI WAMETISHIA KUGOMA NA KUSITISHA KUSAFIRISHA ABILIA WA KUTOKA MAJENGO-MJINI NA MJINI -MAJENGO
Hali hii imetokana na miundo mbinu mibovu ya barabara inayounganisha safari za  kutoka majengo kuja mjini kutokana barabara hiyo kuwa na mashimo  hali inayofanya abiria kupata adha na usumbufu mkubwa pindi wanapo safiri kutoka makwao au pindi warudipo makwao
jitihada za kumtafuta mkurugenzi wa manispaa zinaendelea ili kufahamu hatima ya serikali juu ya barabara hiyo
aidha kwa upande wa wasafiri wameilalamikia serikali juu ya ucheleweshwaji wa ukarabati wa barabara hiyo
mengi zaidi endelea kufatana nami katika blog hii.........

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot