Kuna tamaduni nyingine hutumia nyama ya mbwa kama kitoweo na wakati
mwingine huamini ina faida kubwa mwilini tofauti na nyama ambazo
zimezoeleka kuliwa na binadamu.
Hii imetokea huko India baada ya
mwanamke mmoja kumlazimisha mtoto wake kula nyama ya panya kama kitoweo
cha asubuhi kwa madai watamsaidia kumpatia nguvu.
Mtoto huyo aitwaye Chen
alizua majibizano kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka picha ya
panya hao ambao alitengewa na mama yake huku mama huyo akumuhimiza
kuhakikisha anamaliza kabla ya yeye kuondoka kwenda kazini.
SHIRIKI KWA KUTOA MAONI YAKO KUPITIA MICHALAZO BLOG
No comments:
Post a Comment