Mwanamke
mmoja aliyejeruhiwa na wananchi ametelekezwa barabarani na wauguzi wa
Zahanati ya Nzera iliyopo Geita kwa kile kinachodaiwa ni mchawi.
Hata
hivyo kaimu mganga wa Zahanati hiyo Bigaeli Kasala alipinga madai hayo
akisema hajatelekezwa bali bali alikuwa akitafutiwa usafiri wa kumpeleka
Geita kwa matibabu zaidi.
Dk. Kasala alisema kituo chao hakina gari la wagonjwa ndio maana walimwacha barabarani akisubiri gari lingine.
Awali
alidai mwanamke huyo alipelekwa Zahanati hapo wa kituo ch polisi baada
ya kumwokoa mikononi mwa wananchi waliokuwa wakimpiga wakimtuhumu kuwa
ni mchawi.
Alisema
alikutwa kwenye nyumba akiwa mtupu na kutuhumiwa alikuwa akifanya
uchawi na ndipo watu wakaanza kumpiga hadi kumvunja kiuno.
(TOA MAONI YAKO HAPA CHINI )
No comments:
Post a Comment