KWA PAMOJA TUKISHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI USALAMA BARABARANI: MKOA WA RUKWA BILA AJARI ITAWEZEKANA - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, June 23, 2015

KWA PAMOJA TUKISHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI USALAMA BARABARANI: MKOA WA RUKWA BILA AJARI ITAWEZEKANA

 FUTURE WORLD VOCATIONAL INSTITUTE  NI CHUO CHA UFUNDI STADI KILICHOPO JIJINI DAR AMBAPO KILIANZISHWA NA KUPATA USAJILI MWAKA1997 NA BAADAYE KUPATA USAJILI WA KUDUMU WA VETA USAJILI NO;TC/ 313/2001 KWA MALENGO YA KUTOA MAFUNZO YA UFUNDI STADI


AKI UTOA WITO HUO WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO YA MADELEVA  YALIYO ANDALIWA NACHUO CHA UFUNDI STADI TOKA JIJINI DAR ES SALAMU (FUTURE WORLD VOCATIONAL INSTITUTE)  INSPECTOR  MKUU TOKA KITENGO CHA USALAMA BARABARANI WILAYA YA SUMBAWANGA   BW. AFRICANUS SULE AMESEMA ELIMU WALIYOPEWA INATAKIWA WAITUMIE NA KUWA MABALOZI WA WENGINE KATIKA KUTII SHERIA ZA NCHI
AIDHA  AMEZITAJA FAIDA ZA MAFUNZO HAYA KUWA KWA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA TUTAWEZA KUPUNGUZA VIFO NA AJALI NA KUIFANYA SUMBAWANGA BILA AJARI INAWEZEKANA



 MADELEVA MKOANI RUKWA WAMETAKIWA KUSIMAMIA , KUZILINDA NA KUZITII SHERIA ZA USALAMA BARABARANI  ILI KULETA HALI YA MAELEWANO MAZURI BAINA YA MADELEVA NA JESHI LA POLISI KITENGO CHA USALAMA BARABARANI NA HATIMAYE KUEPUSHA AJARI ZISIZO NA ULAZIMA


KWA UPANDE WA WASHIRIKI MAFUNZO HAYA WAEIPONGEZA SERIKALI KITENGO CHA JESHI LAPOLISI USALAMA BARABARANI KWA KUTOA FULSA KWA WAKUFUNZI KUTOA MAFUNZO YA UJASILIAMALI NA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI KUJA NA KUTOA ELIMU HIYO









1 comment:

Post Top Ad

Your Ad Spot