Mfumo dume ni utaratibu wa maisha wenye itikadi inayo amini kwamba mwanaume ni kiongozi katika ngazi zote na kwamba mwanamke kazi yake kazi yake kuu ni kuendeleza kizazichini ya uongozi wa mwanaume
Katika historia ya mataifa mengi duniani mfumo dume umeongoza dunia katika itikadi ya ubaguzi wa jinsia , Mfumo huu umeashiria kumyima haki mwanamke madaraka ya uongozi katika ngazi ya Taifa na Kimataifa
aidha ili mwana mke aweze kudumu utendaji mzuri katika siasa anahitaji kuungwa mkono na kupata msaada mkubwa kutoka familia hasa katika kubeba yale majukumu yake ya jadi
Wakazi mkoani Rukwa wilaya sumbawanga wameishukuru OLINGO kwa kuandaa mafunzo haya ambayo yamewapa ujasiri na uwezo wakushiriki kuwania nyazifa za uongozi
mafunzo haya yaliyo fanyika kwa siku tano katika ukumbi wa libori CENTER uliwashirikisha wawaniania katika ngazi ya kata na Taifa kwa ujumla ambapo walijitokeza wajasiriamali , madiwani na wabunge waviti maalumu n.k
BAADHI YA WASHIRIKI KATIKA PICHA WAKIIMBA BAADA YA KUHITIMISHA MAFUNZO HAYA
mwandishi: aloyce sengasenga
No comments:
Post a Comment