HAKUNA
MATATA NI FILAMU NZURI ILIYOZINGATIA MAADILI YA KIAFRIKA INATAZAMWA NA
RIKA ZOTE NDANI YA HAKUNA MATATA KUNA SALMA JABU NISHA, KING MAJUTO,
HEMED SULEIMAN, MAU NA TAUSI MDEGELA.
HII SIYAKUKOSA NI JUMATATU
YA 22/12/2014 ITAKUWA KITAANI KWAKO
NA HAYA YOTE NI NDANI YA KIPINDI CHA FILAMU ZA KITANZANIA NDANI YA 92.2FM sauti ya urafiki na maendeleo
No comments:
Post a Comment