Sheria mpya Malawi kuhusu umri wa msichana kuolewa isome na uielewe - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, February 17, 2015

Sheria mpya Malawi kuhusu umri wa msichana kuolewa isome na uielewe

Malawi ni moja ya nchi ambazo zina tatizo kubwa la ishu ya ndoa za utotoni, tafiti zinaonyesha karibu nusu ya wasichana wa nchi hiyo wameolewa wakiwa hawajatimiza miaka 18.
Kutokana na kuendelea kwa tatizo hilo la ndoa za utotoni, Malawi wamepitisha sheria mpya kuanzia sasa umri sahihi wa mtoto wa kike kuolewa ni kuanzia miaka 18.
malawi
Sheria hii itasaidia kulinda haki za watoto wetu wa kike.. Hawatakiwi kuozwa wakiwa kwenye umri wa kuwa shule..“– alisema Jessie Kabwila ambaye ni msemaji wa Chama cha Upinzani  cha MCP.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot