UTAKUWA NI MTANANGE WA AINA YAKE HAPO KESHO 21.02.2015 RUKWA - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, February 20, 2015

UTAKUWA NI MTANANGE WA AINA YAKE HAPO KESHO 21.02.2015 RUKWA

HAYA VIJANA

NI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MSAKILA AMBAYE NI ASKOFU WA KWANZA KATIKA JIMBO KATORIKI SUMBAWANGA.
KATIKA KUMBUKUMBU HIYO ITATANGULIWA NA IBADA YA MISA TAKATIFU ITAKAYO FANYIKA KATIKA KANISA LA KIASKOFU SUMBAWANGA MJINI.

NA BAADA YA HAPO KUTAFUATA MICHEZO MBALIMBALI KWA WANAFUNZI WASHULE MBALIMBALI MJINI HAPA

NA KUFUATIA MTANANGE MKALI KATI YA WAANDISHI WA HABARI, WATANGAZAJI DHIDI YA MAKATEKISTA NA MAPADRI
HII NIKATIKA UWANJA WA NERSON MANDELA
Pichani kulia niabel luteja peter malema, emannuely na aloyce sengasenga
 
WAKIWA KATIKA MAZOEZI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot