ambapo wanafunzi wametakiwa kujibidiisha katika sala nkazi na kujisomea, ili kufikia malengo yao
katika mahafari hayo wanachama wa TYCS walikutana katika ukumbi wa mikutano wa shule ya sekondari MSAKILA mjini sumbawanga ambapo michezo,mbalimbali ilifanyika, bila kusahau harambee ambayo walikusanya zaidi ya sh.laki moja kwa kuuza keki kwa waliohudhuria.
wanafunzu wakipeleka keki kwaajili ya harambee
mgeni rasmi kulishwa keki
vyama vya kidini mashuleni vinamjenga mwanafunzi kijana kuwa na hofu ya mungu dhidi ya matendo maovu na badala yake kuweka bidii katika masomo.
na aloyce sengasenga
mwandishi/mtangazaji
chemchemi radio
No comments:
Post a Comment