- Nyangumi ndiye mnyama mkubwa kuliko wote kupata kutokea duniani.
- Pia ndiye mnyama mwenye moyo mkubwa kuliko wote duniani.
- Mshipa mkubwa wa damu utoao damu kwenye moyo na kusambaza katika sehemu nyingine za mwili wake ni mkubwa kiasi kwamba mtoto mdogo anayetamaa anaweza kutambaa kwa hatua nyingi tu kabla ya kuumaliza.
- Moyo wa nyangumi una uzito wa zaidi ya tani moja.
- Nyangumi anaweza kuruka kwa mruko mmoja tu mita zipatazo elfu mbili.
- Kwa siku moja tu nyangumi hukojoa hadi ndoo tano kubwa za mkojo.
- Nyangumi wa bluu hubeba mimba kwa miaka miwili hadi kuja kuzaa.
- Mtoto wa nyangumi, ile siku ya kwanza tu kuzaliwa huwa na uzito wa sawa na wanaume wenye afya mia moja na huwa na urefu wa mita saba na nusu..
- Nyangumi anatajwa kuwa kiumbe anayeongoza kwa kuwa na sauti kubwa kuliko viumbe wote duniani!!
- Ili kupumua nyangumi analazimika kutoka nje ya maji ndipo aweze kupumua. Kwa hali hii kamwe ubongo wa nyangumi haulali!!
- Nyangumi mkubwa ana uzito wa tani mia mbili.
- Licha ya kuishi baharini nyangumi kamwe hanywi maji ya baharini.
- Hisia kubwa inayomwongoza nyangumi ni kusikia… hii ni kwa sababu ana macho madogo sana.
- Nyangumi anakadiriwa kuwa na uwezo wa kuishi umri sawa na umri anaoweza kuishi mwanadamu.
Leo tupo kwa wanyama bado, lakini leo ni baharini na tunakutana na mfalme wa bahari aitwaye NYANGUMI.
No comments:
Post a Comment