Ikiwa leo ni siku ya tarehe 24/09/2016 kama ulikuwa haujui leo ni siku
ya Msanii ambapo wasanii tofautitofauti wanakutana kwa pamoja ili kuweka
uhusiano mzuri baina yao huku kauli mbiu ikiwa inatazama mambo
matatuambayo ni kujitambua,kuthamini kile ambacho unakifanya pamoja na
kuhamasisha kazi za sanaa na kufanya kazi za sanaa kufika mbali zaidi.
Katika mkoa wa Rukwa sikuhii imekuwa tofauti sana kwani ni wachache walioithamini na kuipa kipaumbele siku hii.
baadhi ya wasanii katika kujitambua na kuithamini jamii wao waliamua kufunga safari moja kwa moja kuelekea katika kituo cha watoto wanaolelewa na masista wa malkia wa afrika. kilichopo mjini sumbawanga. kijulikanacho kwa jina la ST .MARTIN DE POLES, katandala.
wasanii hawa toka katika kundi la BULLET ARTIST GROUP, wamepata nafasi ya kujifunza mengi na kushuhudia kwa macho na masikio yao juu ya namna ambavyo kituo hiki kinafanya jitihada za makusudi za kuakikisha zina mleo mtoto wakuanzia siku moja na kuendelea huku kikikumbuka haki za msingi kama kumpatia chakula,huduma bora za matibabu pamoja na kupata elimu bora .
kiujumla wameshukuru kwa mapokezi mazuri na kuahidi kuto kata tamaa katika kuhakikisha kuwa haki za watoto zinalindwa na kuthaminiwa kwa kufikisha ujumbe kwa jamii kupitia vipawa vyao walivyojaliwa na mwenyezi mungu .kwa njia ya maigizo.
kutazama na kudownlod video ya tukio .tembelea
YOUNGP TV ndani ya ukulasa wa you tube.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Saturday, September 24, 2016
Home
Unlabelled
MAMBO MATATU YAKUZINGATIA KAMA MSANII HAYA HAPA. IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA MSANII DUNIANI
MAMBO MATATU YAKUZINGATIA KAMA MSANII HAYA HAPA. IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA MSANII DUNIANI
About JN POWER TV
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment