TIKISA BAND :tunatafuta video Queen. Mwenye kujitambua - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, November 2, 2016

TIKISA BAND :tunatafuta video Queen. Mwenye kujitambua

Kundi linalokuja Kwa kasi  nakumake  headline kwenye mtandao mingi  yakijamii.

Sasa wapombioni  kuachia bonge moja la  video  ambapo kiongozi wa kundi Hilo  maarufu kama  elly b.  Ametangaza  nafasi tano. Za  wasichana wazuri watakao shiriki  kazi  hiyo

"TIKISA BAND.  Kwa sasa tukombioni  kuachia  video  mpyaKuanzia trh 8/11/2016 ,hivyo tunahitaji  video Queen. Mwenye mwonekano  na anayejitambua. Elly b. Amesema"

Kaa mkao wa kula  na Ukiwa kama mwanadada namlimbwende unayejitambua. Falsa Hii si yakukosa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot