LISHA KIZAZI KWA NAFAKA BORA - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, August 2, 2017

LISHA KIZAZI KWA NAFAKA BORA

NAFAKAII:
 ni awamu ya pili ya Mradi  wauendelezaji Mifumo ya Masoko ya Mazao ya Nafaka.
Lengo kuu ni kuboresha ushindani na kuongeza tija ,faida na lishe  bora  kwa walengwa kupitia , uboreshaji wa mfumo wa  usambazaji pembejeo, uimarishaji wa taasisi na rasilimali watu na uboreshaji wa kusindika mahindi na mpunga
 



Kijarida kinachotoa ufafanuzi wakina juu ya NAFAKA II:kama mpango wa uendelezaji Mifumo ya Masoko ya Mazao ya Nafaka
 




MALENGO MAKUU YA UTOAJI ELIMU KWA WASINDIKAJI KUPITIA SEMINA ILIYOANDALIWA NAnAFAKA MKOANI IRINGA
-kuimarisha mifumo ya usambazaji pembejeo ili kukuza uzarishaji
-kuimarisha usambazaji shambani
-uhifadhi bora wa vifungashio
LENGO: KUPANUA WIGO WA WATEJE KUPITI KUONGEZA VIRUTUBISHI
PIA KUPATA TECHNOLOJIA MPYA
MIKAKATI ILIYOPO KWA MRADI HUU WA NAFAKA PIA NI  KUWATEMBELEA WASINDIKAJI KWENYE MAENEO MAPANA YA MKOA WA IRINGA
KUFANYA UTANGULIZI , KWA WASINDIKAJI  15KUWAPELEKA MOROGORO KUJIFUNZA KWA VITENDO
KUSHAWISHI WAWEKEZAJI KUINGIA KATIKA SOKO LA USINDIKAJI KWA KUFZINGATIA VIWANGO

 


 PICHANI NI MARIAM SHAIBU AFSA TAWALA MANISPAA YA IRINGA  KWA NIABA YA MKUU WA WILAYA KWENYE SEMINA ILIYOANDALIWA NA MRADI WA NAFAKA
 Bi. MARIAM AMEWAOMBA WASINDIKAJI  KUFUATA TARATIBU ZA SERIKALI ZA UBORA WA VIWANGO KATIKA USINDIKAJI KWA FAIDA YA RISHE BORA KWA WATOTO NA JAMII INAYOTUZUNGUKA
PIA AMEPONGEZA WAANDAAJI WA SEMINA HII YA MRADI WANAFAKA KWA KUONA UMUHIMU WA KUWAKUTANISHA WADAU WA LISHE NA WASINDIKAJI WA MAZAO.


 
 
pichani ni mratibu wa taifa uongezaji virutubishi kwenye vyakula ambaye ni coordinator in national food fortification program bw. celestine martin mgoba
Ambapo amezitaja changamoto mbalimbali zitokanazo na uongezwaji wa virutubisho huku mwanajamii anashuhudia Hali inayo mpa maswali  mengi kutokana na kuamini katika imani potofuHivyo amewashauri wasindikaji kuandaa lishe na kumpelekea mtumiaji vikiwa vimeongezwa virutubishi ili kuondoa maswali mengi kwa mlaji 



 



 
BAADHI YA WASHIRIKI KATIKA SEMINA ILIYOANDALIWA NA MRADI WA NAFAKA MKOA WA IRINGA





 



PICHANI NI MKURUGENZI WA MASOKO,BIASHARA NA HUDUMA ZA FEDHA.Bw.Silas Ng’habi
Akifafanua juu ya mradi huu wa NAFAKA namna unavyojitahidi kufanya tafiti na kuibua changamoto zilizopo katika jamii juu ya namna jamii inavyotumia virutubisho lishe.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot