- MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, June 10, 2015

HII NI AFRO POP YA WEDNIGHTSHOW,  AMBAPO HAPA TUNAPATA FULSA YA KUSIKILIZA MIKITO MOTOMOTO KATIKA MIONDOKO YA POP MUSIC.
TUTAPIGA STORY JUU YA WASANII MBALIMBALI KATIKA KUUENZI MZIKI WA POP
UTAKUTANA NAMI ALOYCE MWANA WA SENGASENGA( YOUNG Pz) /  young prezder
ndani ya sauti ya urafiki na maendeleo chemchemi radio mjini sumbawanga  katika mawimbi ya 92 . 2 fm
ungana nami kila siku za juma tano usiku hadi saa nne kamili usiku
KARIBU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot