SIKU YA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: KUFANYIKA MKOANI TANGA - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, June 6, 2015

SIKU YA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: KUFANYIKA MKOANI TANGA

 

Makamu wa rais wa zanzibar Dk. Mohammed Garib  bilal amewahutubia wananchi wa mkoa wa Tanga wakati wa maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Tanga

Katika maadhimisho hayo zawadi mbalimbali zilitolewa kwa baadhi ya watu walioonesha kipaumbele katikausimamizi, utunzaji na uboreshaji wa mazingira, pichani akikabidhiwa zawadi ni mkuu wa mkoa wa Ausha mh. felix ntibenda.


















 
maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja tangamani mkoani Tanga



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot