WANANCHI WA AFRIKA MASHARIKI WATAZAMIE NINI KATIKABAJETI ZA MWAKA 2015/2016? IKIWA LEO NI SIKU YA BAJETI AFRIKA MASHARIKI - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, June 10, 2015

WANANCHI WA AFRIKA MASHARIKI WATAZAMIE NINI KATIKABAJETI ZA MWAKA 2015/2016? IKIWA LEO NI SIKU YA BAJETI AFRIKA MASHARIKI






Leo ni siku ya Bajeti kwa nchi nne wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki - isipokuwa Burundi. Wananchi wa Afrika Mashariki watazamie nini katika bajeti za mwaka wa fedha 2015/16?; - Bei za vitu zikipanda, thamani ya shilingi ikianguka, na huku hali ya maisha kwa jumla ikiongezeka.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot