SERIKALI, VYAMA VYA SIASA NA WANANCHI MKOANI RUKWA WAMETAKIWA
KUTOA FULSA KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU ILI KUJITOKEZA
KWENYE NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI
KATIKA JAMII HASWA TUNAPOELEKEA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2015
HAYO YAMESEMWA NA BI JUDITH AGUSTINE AMBAYE NI MWANASHERIA
NA WAKILI WA KUJITEGEMEA WAKATI WAMAFUNZO
YALIYO WEZESHWA NA ASASI YA OLINGO AMESEMA MAFUNZO HAYA YATAWAJENGEA
UWEZO WA KUJIAMINI NA KUMPA UTHUBUTU
MWANAMKE KATIKA NYAZIFA MBALIMBALI
KATIKA MAFUNZO HAYO
WANAWAKE WALIPAATA FULSA YA KUELEZEA MATARAJIO YAO KUWA NI PAMOJA NA KUWA NA UWEZO WAKUSIMAMA NA KUJIELEZA MBELE
ZA WATU, KUJIFUNZA JUU YA UPANGAJI WA BAJETI NA KUWA NA DHAMIRA YA USHAWISHI KWA WANANCHI
AIDHA WAMEZIELEZEA HOFU ZAO KUWA KUTOKANA NA KIWANGO KIDOGO
CHA ELIMU HUENDA IKAWAPA WAKATI MGUMU NA
NAFASI NDOGO YA KUJIAMINI NA UWEZO WAKUJIELEZA MBELE ZA WATU
MAFUNZO HAYO YANAYO ENDELEA KWA MDA WA SIKU TANO KATIKA UKUMBI WA LIBORY CENTER YAMEANDALIWA NA OLINGO KAMA MWEZESHAJI INAYOTOA FULSA YA KUMWEZESHA
MWANAMKE, KIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KUSIMAMA NA KUWA NA UWEZO WA KUJIAMINI
No comments:
Post a Comment