ni kipindi kitakacho kupa fulsa ya kuelezea uhalisia wa maisha yako , changamoto ulizo kumbananzo, kukatishwa tamaa, na ndugu jamaa na marafiki, kwa mawazo potofu, ikiwa ni pamoja na ulevi . na kadharika
Ali iliyo kufanya hata kazi ukaiona haina thamani, na kusahau majukumu yako
Familia ikaingia migogoro na hatimaye kupoteza ndoto ya maisha na hatimaye kuishi bila amani,mtazamo wa kufuga pingu ya maisha ukawa hasi,
Maisha yakawa zigi zaga, ingawa ulijipa moyo lakini tamaa ulikatishwa kutokana na matendo yaliyoigwa na marafiki .
ulijipa moyo bila msaada wowote na ndoto ya kuishi maisha bora ikapotea
Uliwaza siku moja utakuwa na maisha ya kifahari ukaapa kuachana na familia yako Ili uishi wewe kama wewe kwa lengo la kupata auheni ya maisha lakini ikawa ni matatizo juu ya matatizo
Baada ya mwaka kuingia, heri na faraja ya kuishi maisha mapya yenye matumaini ikaja , ingawa haikuwa kama zamani lakini ukajipa moyo kwa kuwa ulionesha sura ya tabasamu kwa vile aliyekuwa mpenzi wako alilejea mikononi mwako,
haya ni maisha tu! kama mkosaji hawezi kusamehewa zaidi ya mara sabini je nikweli yesu angeweza kutamka kauri ya saba mara sabini?
Haya changanua yupi ni rafiki mwaminifu na mwenye ushauri katika kutimiza ndoto ya maisha yako. ni yule ambaye mnashinda naye baa, au ni yule mnashindanaye huku mkipeana mawazo ya maendelelo
na hata kama mnaishi naye ana mawazo ya maendeleo ya kujenga familia kama ni mumeo au mkeu
NI UWANJA WAKO KUPITIA BLOG HII YA MICHALAZO PREZDER
UJIFUNZE NA UTAFAKARI JE . KUNAUHARISIA WA MAWAZO YANAYIO ENDANA NA HAYA . NA KAMA IPO AU HAIPO KWA WALIO NAYO UNAWASHAURI NINI
KARIBU
No comments:
Post a Comment