TFDA WA HATARISHA MAISHA YA WANANCHI WILAYA YA SUMBAWANGA MKOANI RUKWA - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, January 21, 2015

TFDA WA HATARISHA MAISHA YA WANANCHI WILAYA YA SUMBAWANGA MKOANI RUKWA


 JE JAMANI NI HALALI KWA TFDA KUTUPA VYAKULA NA VIPODOZI AMBAVYO VIMEISHA MUDA WAKE KATIKA MADAMPO NA BILA KUCHOMA MOTO?

 Hizi ni kikiri kakara za vijana na watoto katika kuokota kile ambacho kina mpendeza machono pake
 Haya mafuta mishumaa, dawa za meno, biscuit na maziwa ya kopo vilikusanywa na kutupwa katika dampo ambalo si rasmi lililozunguka makazi ya watu, na hii ndo hali halisi jionee mwenyewe



 Dogo(KIJANA) akishambulia blue band aliyojiokotea katika dampo hilo



Hii ni kali ya mwaka ndani ya halmashauri ya sumbawanga mjini
ilikuwa siku ambayo mamlaka ya chakula na dawa walipo zungukia maduka na kukusanya vitu ambavyo vimeisha muda wake wa matumizi, yaani vime (expire)
cha kushangaza sasa ni kwamba wamekusanya wamepeleka katika dampo lilimkabala na makaburi ya mazwi, wametupa na hawajavichoma moto, hebu sasa tazama hiki kizazi kinajipatia riziki
kwa bidhaa na zilizo hatari kiafya
nini mawazo yako

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot