
Salamu kwako mvuvi
Mvuvi ndani ya maji
Hekima zangu mjuzi
Subira yavuta heri
Sikushauri uache
Subiri hadi upate
Samaki wako uvue
Subira yavuta heri
Haraka haina wema
Subira kitu cha wema
Ninakusihi malenga
Subira yavuta heri
Jukumu lako mzazi
Kulea yako ni kazi
Usiishie njiani
Subira yavuta heri
No comments:
Post a Comment