HEKARI 120 ZA NUNULIWA KWA AJIRI YA UJENZI WA CHUO KIKUU - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, March 14, 2016

HEKARI 120 ZA NUNULIWA KWA AJIRI YA UJENZI WA CHUO KIKUU

Zaidi ya Hekari 120, zimenunuliwa na asasi ya mfuko wa mwalimu nyerere kwa lengo la ujenzi wa Chuo kikuu ambacho kitatoa elimu kwa michepuo ya sayansi,


John Joseph, ni Katibu wa mfuko na pia ni mtendaji mkuu wa mfuko huo ameviambia vyombi vya habari kuwa Ekari hizo zimegharimu kiasi cha Tz sh.23,800,000

Amesema lengo la mfuko huo ni katika kuhakikisha mkoa wa rukwa unakuwa na wasomi wengi na wenye elimu ya kutosha ili kujenga jamii ya wasomi

Mbali na sekt ya elimu mfuko huo pia unasaudia katika kusomesha wanafunzi katika nafasi ya tabibu ili kuondoa na kupunguza uhaba wa matabibu ambapo kwa sasa wanafunzu 130 mkoani hapa  wanaolipiwa ADA Na mfuko huu

Eneo la ujenzi wa chuo kicho ambacho bado hakijapewa jina lipo katika kijiji cha kipande kata ya kipande.wilaya ya nkasi. Km 30 kutoka manispaa sumbawanga

Tangu kuanzishwa Kwa mfuko huu mwaka 2007 kimepiga hatua Kubwa katika kusaidia jamii ya mkoa wa Rukwa. Katika sekta ya Elimu Na afya.







No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot