Muonekano wa ndani wa Ndege ya Donald Trump - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, November 26, 2016

Muonekano wa ndani wa Ndege ya Donald Trump


Rais Mteule wa Marekani Donald Trump anazidi kuzimiliki headlines kubwa wakati ikijiaandaa kuingia Ikulu ya White House. Mbali na nafasi aliyoipata mfanyabiashara huyo tajiri, tunafahamu kuwa Trump anamiliki ndege yake binafsi ambayo ndiyo anayoitumia kwenye safari zake kama usafiri wake binafsi.
Ndege hiyo aina ya Boeing 757  imetajwa kuwa na thamani ya £63m ambazo ni zaidi ya shilingi billioni 147 za kitanzania, ina uwezo wa kubeba abiria 239, ndani yake kuna Sinki la kunawia ambalo limetengenezwa kwa Gold pia seat zake ni sofa zenye urembo wa Gold.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot