NA RUHUSU UZALIWE UPYA UPENDO WA KWELI KWA WANADAMU WENZANGU KWANGU - MAISHA ONLINE BLOG

Hot

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, December 24, 2016

NA RUHUSU UZALIWE UPYA UPENDO WA KWELI KWA WANADAMU WENZANGU KWANGU

Wakristo wote ulimwenguni wanaungana kusherehekea kuzaliwa kwa mkombozi wao wa ulimwengu Emanuel yaani Mungu pamoja nasi. Sherehe hizi huambatana na shamrashamra za kila aina ingawa kimsingi kwa mujibu wa mafundisho ya Dini ya Kikristo Krismas sio kusherehekea kwa kula, kunywa na kufanya anasa za dunia bali ni kuruhusu Kristo azaliwe upya ndani ya mioyo ya wanadamu.

Bwana Yesu alipozaliwa MamaJusi walimpelekea manemane na uvumba kwa kuwa waliamini ndiye Mfalme wa Wayahudi na Mkombozi wa Dunia na ndio sababu hata siku hizi ukipita maeneo mbalimbali unapokaribia msimu wa sikukuu hii utakuta mapambo ya kila aina.



NA RUHUSU UZALIWE UPYA UPENDO WA KWELI KWA WANADAMU WENZANGU KWANGU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot